Karibu watu 46 wamekufa baada ya ndege ya kijeshi ya Sudan kuanguka jana Jumanne katika mji wa Omdurman. Kulingana na maafisa wa Afya na jeshi, wanajeshi na raia walikufa katika eneo la ajali ...