HEBU kumbuka taarifa ya habari hii: “Mwandishi wa habari wa kituo binafsi cha runinga cha Channel Ten, Daudi Mwangosi ameuawa akiwa kwenye maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).