na kuzidisha mzozo wa miongo kadhaa na kuzua hofu ya vita vya kikanda. Huku watu wa Goma, mkoani Kivu Kaskazini wakiteseka kutokana na njaa na juhudi za kutoa misaada zikidhoofika, Ubelgiji ...
Mipango ya Al-Sharaa kwa Syria ya baada ya vita Katika mkutano wa hivi karibuni uliohudhuriwa na viongozi wa serikali mpya, Sharaa alielezea vipaumbele vyake kwa ajili ya Syria ya baadaye.
Israel na Hamas zinatarajia kutekeleza hatua ya nne ya mabadilishano mateka na wafungwa tangu kuanza kwa usitishaji vita Januari 19 huko Gaza siku ya Jumamosi, na kuachiliwa kwa Waisraeli watatu ...
Vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye mji wa El Fasher, mji mkuu wa Kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa nchi. Ijumaa, Shirika la Afya ...
Lakini mambo yalibadilika ghafla katika msimu wa vuli wa 2022, baada ya vita vikubwa nchini Ukraine kupamba moto. Kabaeva alitangaza kuunda 'Sky Grace,' chama cha kimataifa cha vilabu vya sarakasi.
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) leo Januari 29, inatarajiwa kuketi katika Kikao cha dharura cha wakuu wa mataifa katika juhudi nyingine za kuzuia vita kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...
Rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa ameahidi kuitisha mkutano wa majadiliano ya kitaifa, katika hotuba yake ya kwanza kwa taifa tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad. "Tutatangaza ...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeielekeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam kushughulikia dhamana ya mwanasiasa maarufu nchini, Dk Wilbrod Slaa, na kutoa uamuzi wa ...
Chanzo chetu kilisema uamuzi huo umetokana na Yanga kuwaeleza Waarabu hao inahitaji zaidi mchango wa nyota hao wawili kwa ajili ya vita ya kutetea taji la Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la FA, ambalo ...
Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) “ni tatizo kubwa sana.” Trump amebainisha hilo Alhamis Januari 30, 2025 akijibu ...