Viongozi wa mataifa ya Ulaya wameitisha mkutano wa dharura mjini Paris nchini Ufaransa wiki ijayo ili kujadili hatma ya vita vya Ukraine ikiwa ni chini ya miezi miwili tangu kuingia kwa Donald Trump ...
Israeli "inatumia njaa kama silaha ya vita" huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kwa eneo la Palestina tangu siku ya Jumapili, Afrika Kusini imeshutumu katika taarifa kutoka Wizara yake ya ...
Kama wengine waliorejea kaskazini mwa Gaza baada ya miezi ya kuhama kutokana na vita, Sufian Al-Majdalawi anashikilia chochote anachoweza kupata. Akitumia zana ndogo na mikono yake, anapekua katika ...
Kushikiliwa kwa maeneo makubwa ya Congo Mashariki na madini yenye thamani na waasi wa M23, kumeongeza hofu ya vita vikubwa zaidi na kuamsha utabiri wa wazi kutoka kwa baadhi ya wawakilishi wa upinzani ...
Kwa baadhi yao, milipuko ilikuwa karibu sana kiasi kwamba walihisi kana kwamba vita vimeanza nje ya madirisha yao. Miaka mitatu imepita, lakini Ukraine imeendelea kukumbwa na mashambulizi karibu kila ...
February 26th Slime Ya HB, also known as National Backdoor Day, refers to memes and jokes in which TikTokers joke about getting backstabbed or "slimed" by their friends or "homeboys" on February 26th, ...
Wizara imeomba maelezo kutoka kwa manusura mara moja katika kila mwongo mmoja, huku kukiwa na jumla ya watu zaidi ya 130,000 wanaoshiriki. Sasa inalenga kutafuta simulizi kila mwaka.
Vita itakuwa ya vuta nikuvute kwenye mechi zao zijazo kabla ya kukutana wenyewe Mei. Liverpool kwa sasa inaonekana kuwa bosi kwenye mbio hizo za ubingwa, lakini kuna sababu nyingi za kuamini kwamba ...
SIMBA inashuka uwanjani ugenini Jumatano hii dhidi ya Namungo kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara lakini Kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids kuna ishu kaishitukia kuhusu watani wao wa jadi, Yanga.
hali inayozua hofu ya vita vikubwa zaidi. Wanajeshi wengi walikuwa wakijazana kwenye boti wakikimbia Uvira, chanzo cha usalama kilisema, na kuongeza kuwa hatua hiyo ilisababisha hali ya taharuki ...
Israeli imedhamiria kufikia "kuachiliwa kwa mateka wetu wote" na kufanikiwa kwa "malengo yote ya vita yaliyowekwa" na serikali, Saar amesema katika mkutano na waandishi wa habari huko Jerusalem.
Pia walizungumzia mipango ya nchi zao baada ya vita hivyo, ikiwa ni pamoja na iwapo watume vikosi vya kulinda amani nchini Ukraine. Marekani imekuwa ikizitaka nchi za Ulaya kuweka bayana ni ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results